|
.........
..
|
...
| Hii
sio maana ya maneno haya, ila ni nitisi zinazoendana na kuongezea uwezo
nchi jamii zenye kipato cha chini. Yanaelekezwa kwanza kwenye jamii, lakini
pia kwa wana mipango wa jamii, wafanya kazi, wasomi, wanafunzi, watafiti,
wanaushirika, mameneja na watawala ambao wanahusika na kuondoa umasikini
na maendeleo endelevu katika jamii. |
..
|
kama ilivyo
kwa waraka za kufundishia katika ukurasa huu, unakaribishwa kuchukua, na
kuchapicha waraka hizi au hata kutafsiri katika lugha yako. Usinakili na
kusema ni waraka wako, tafadhali onyesha umetoa wapi. Maneno yamewekwa
katika alfabeti. Bonyeza katika herufi inayoanzia na neno unalotaka kuona
(hii ni kwa kiingereza, baada ya tafsiri herufi zimebadilika), kwa hiyo
pitia maneno yote.
|
..
|
Kama umeona neno linalohusiana na
uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
|
––»«––
|