..
..
| Bila
kichwa (ceph = Kichwa). Enzi za makundi madogo madogo ya wafugaji na waokotaji,
mifumo ya kisiasa ilikuwa michache, ni kama wote walikuwa sawa. Hakukuwa
na wafalme au machifu, wasomi wanaita hayo makundi yalikuwa asefalus yaani
bila kichwa. |
. |
Katika
jamii za kisasa, kuna makundi tofauti tofauti na pia mara nyingi wanabadilisha
makundi ya marafiki. ni katika jamii ndogo au ambazo hazijajizatiti sawasawa
ndio unaweza kukuta mfumo usio na kichwa. |
..
..
..
|
Ku "anthropomorphise"
ni kukipa ubinadamu kitu ambacho si binadamu.
|
.
| Hili
ni tatizo katika baiologia, kwa mfano watu wanaongelea bata au panda kuwa
na familia" (kama binadamu), wakati sivyo. |
. |
Katika
soshiologia na uwezeshaji, tatizo linahusishwa katika mawazo potofu kama
kuifanya jamii kuwa na sifa za kibinadamu. |
.
.
..
..
| Neno"athari,"
nimatokeo juu ya kitu, yaliyosababishwa na vitu tofauti tofauti.
"Ukila sana utaathirika kwa kupata kiungulia." |
. |
Neno
"athari," kama nomino, inaendana na neno "muathiriko" namna fulani ya hisia.
"nina hisia kali juu yake," maana yake ninampenda sana. |
..
| Jinsi
utakavyokwenda kwenye jamii kama mwezeshaji kuna athiri jinsi jamii itakavyoitikia. |
.. |
usichanganye
neno "athiri" na neno "madhara," ambalo linahusiana na athari. |
..
..
––»«––
|