...
...
| Kwenye
kemia, chachu ni kemikali ambayo inaharakisha uwezo wa kitu kutendekana
yenyewe kuwa sehemu ya kitendo hicho. |
.
|
Mara
nyingi huongeza kasi ya kitendo, kwa hiyo neno chachu ni zuri kumuelezea
mwezeshaji. |
....
| Mweeshaji
haanzishi au kubadilisha jamii. |
.
|
Jamii
inajianzisha na kubadilika yenyewe. |
....
| Mwezeshaji
anasisimua mabadiliko bila yeye kuwa sehemu ya ushirika wa jamii husika. |
. |
Cha
muhimu, mwezeshaji atoe uongozi wa muda bila kuwa kiongozi wa jamii. |
...
.
| Communal
Facilities and Services: |
...
| Katika
makazi ya binadamu, nafasi nyingine zinamiliikiwa na watu binafsi au familia,
hasa nyumba. |
. |
vitu
vingine kama barabara, maji, au shule vinamilikiwa na kikundi au kwa pamoja,
ni mali ya jamii. |
...
|
Kazi
na huduma za kijamii, ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, uhodari
na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: ELementi
za nguvu ya jamii.
|
.
| Makazi
ya binadamu na huduma muhimu (kama vile barabara, soko, maji, elimu,
huduma za afya), maisha, uendelevu nad uwezo wa wanajamii kupata huduam
hizo. |
....... |
Jinsi
wanajami wnavyokuwa na uwezo wa kupata huduma hizo katika jamii ndio wanavyozidi
kujiwezesha. (ni katika kupi ma uwezo wa ushirika kama vile vifaa vya ofisini,
vyoo, na vitu vingine kwa ajili ya wafanyakazi). |
.
|
Unapoihamasiha
jamii kufanya kazi, mwezeshaji unatakiwa kuwa macho na umuhimu wa mali
za jamii katika uwezeshwaji.
|
..
..
..
..
|
(Deutsch:
, English: , Français: ,
Português:
, Español:
).
|
..
––»«––
|