Jamii kujitawala, kujiwezesha na kujiendeleza
Maneno muhimu
I
DeutschLa versión española de este documento.La version française de ce document.ItalianoKiswahiliRussian Version
Iliyo ya jamii:
..
Kwa mradi au ushirika ili kuwa wa jamii, ni lazima ianzie kwenye jamii, na ni lazima iwena wanachama, na kuwa na maamuzi yake binafsi (sera na uongozi) yanayofanya na wanachama. . Kwa ushirika, au mradi wa nje amabao upo tu ndani ya jamii, kamwe hauwezi kusema unamilikiwa na jamii. pia kuomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii hakuufanyi mradi kuwa wa kijamii.
..
kuna tofauti kubwa kati ya mradi unaomilikiwa na jamii, na uliopo katika jamii. (mafano kliniki, mradi wa uzalishaji mali) hiyo ni kwamba ipo kwenye jamii. ....... Kuitwa mali ya jamii, ni sawa ushirika, ujenzi, huduma nni lazima zichaguliwe na kuchujwa na kuongozwa na jamii nzima (sio baadhi tu ya kazi). Cha msingi nikuwa maamuzi yote yafanyike ndani na wanajamii hapo itakuwa ni mradi wa jamii.
..
Angalia Kazi za kijamii katika makambi ya wakimbizi.
(Deutsch: gemeindenah, English: community based, Español: basado en la comunidad, Français: fondé sur la Communauté, Português: baseado na comunidade).
..
I:
..
H ....... T
..
(Deutsch: , English: , Français: , Português: , Español: ).
.. 
Mwandishi Phil Bartle
Mtafsiri (translated by)
Alpha Mukama

––»«––
.........
Maneno muhimu