.
..
| Neno
jamii limekuwa likitumika kwa mana tofauti tofauti. |
. |
Wana
baiolojia wanaongelea jamii kama watu katika spishi moja, au spishi tofauti
tofauti, zinazoishi, na kushirikiana au kushindana katika kutengeneza umoja. |
..
| Tangu
kuanzishwa kwa mitandao na teknolojia ya mawasiliano, watu wengi hasa wale
wenye kupenda vitu saresare wameweza kuwa pamoja bil kukutana kijiografia
ila kwa mawasiliano ya kiumeme. |
. |
Katka
ukurasa huu tunaangalia jamii katika njia za kiothodoxi, jamii ni watu
wanaoishi, wenye mipaka ya kijiografia, wanahusiana, kwa mfano katika jamii
zinazoanznia katika ujirani katika miji mpaka katika vijiji. Angalia Makazi. |
..
| Jamii
sio tu mkusanyiko wa watu. Ni watu ambao ni sehemu ya tamduni,
ikishirikisha mawasiliano kati ya watu. vipimo vyake sita vinahusisha,
uchumi, siasa, teknolojia, mawasiliano, thamani, imani na fikra. Haipasishwi
kwa njia ya kibaiolojia ila kwa kusoma. |
. |
kama
vile mti au kitu kingine chochote chenye uhai, kinatokana na chembechembe
ndogo, hivyohivyo katika jamii, binadamu huja na kwenda kwa kufa na kuzaliwa
ila inaendelea kukua na kuongezeka. kamwe si sawia. Jamii inachukuliwa
kama kitu kimoja kizima zaidi ya sehemu sehemu zinazoifanya jamii.Jamii
ni nini?." |
...
.
| Makazi
ya binadamu (makazi)
Ina
sifa zifuatazo (1) watu wengi, (2)idadi kubwa ya watu na (3)tabia mbalimbali
mfano, mgawanyo wa kazi, utofauti). |
. |
Hakuna
kipimo chochote kwa vitu hivi vitatu, kwahiyo mitaa, kata, na vijijiviko
upande mwingine na majiji makubwa yako upande mwingine, na katikati ni
miji na mikoa. |
.
|
These
three variables affect methods of community strengthening. (Angalia
pia Vijiji).
|
.
..
..
..
|
(Deutsch:
, English: , Français: ,
Português:
, Español:
).
|
..
––»«––
|