| ............. |
.
| Kamati
ya utekelezaji ya jamii: |
...
| Kamati
CIC
ni Bodi, kamati
ya maendeleo ya jamii iliyochanguliwa na jamii inayohusika na shughuli
za kijamii na uongozi wa mradi wa kijamii, |
|
Kamati ya mradi
wa jamii, kamati ya utekelezaji ya jamii.kamati ya maendeleo ya jamii katika
ngazi ya kijiji inayofanya kazi ya kujenga au kufanya ukarabati wa huduma
za jamii. |
.
..
...
| Hii inatokana na soshiolojia
kuwa jamii imeundwa na kikundi amabvyo vinagombeamalighafi chache zilizopo.Mapinduzi
ya kilimo ambayo bado hayajakwisha yameona ugomvi kati ya wakulima na wafugaji
huko Uganda, na D.R Congo, makabila duni huko Canada, Marekami na Australia,
Koisan Afrika ya kusini na katik ajamii nyingine ambazo zinategemea ufugaji
na uwindaji. |
. |
Labda kuuwawa kwa watutsi na wahutu
ni mfano wa hivi karibuni kuonyesha gomvi hizi.Katika karne ya kumi na
tisa, Amerika ya kaskazini ugomvi wake uko kati ya wafugaji na wakulima.
katika soshiolojia mawazo haya yalitengenezwa na Karl marx ambaye alifikirii
kuhusu wafanyakazi na wenye viwanda. Katika kazi yako kama mwezeshaji,inaweza
kuwa |
.
| Kazi
na huduma za kijami: |
..
| Katika
makazi ya binadamu, nafasi nyingine zinamiliikiwa na watu binafsi au familia,
hasa nyumba. |
. |
vitu vingine
kama barabara, maji, au shule vinamilikiwa na kikundi au kwa pamoja, ni
mali ya jamii. |
...
|
Kazi na huduma
za kijamii, ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, uhodari na uwezo
wa jamii au ushirika. Angalia: ELementi
za nguvu ya jamii.
|
.
| Makazi
ya binadamu na huduma muhimu (kama vile barabara, soko, maji, elimu, huduma
za afya), maisha, uendelevu nad uwezo wa wanajamii kupata huduam hizo. |
....... |
Jinsi wanajami
wnavyokuwa na uwezo wa kupata huduma hizo katika jamii ndio wanavyozidi
kujiwezesha. (ni katika kupi ma uwezo wa ushirika kama vile vifaa vya ofisini,
vyoo, na vitu vingine kwa ajili ya wafanyakazi). |
.
|
Unapoihamasiha
jamii kufanya kazi, mwezeshaji unatakiwa kuwa macho na umuhimu wa mali
za jamii katika uwezeshwaji.
|
..
..
..
| Jukumu
lako moja la muhimu ni kutoa taarifa muhimu na sahihi, unahitaji kutoa
taarifa hiyo, ndio, kuna tatizo, lakini suluhishi lipo kwenye jamii yenyewe. |
. |
Angalia
Kuongeza
ufahamu.
Hamasisha
Watahisi kuwa unawaletea malighafi au utawasaidia katika kutatua matatizo
yao (hivyo wanakuwa na mategemeo ya hali ya juu), lakini unatakiwa kunyamazisha
hayo mategemeo. |
.
......
| Kujengea
uwezo; kuendeleza uwezo: |
...
...
| Tofauti kati ya kuendeleza
na kujengea uwezo uko kwenye wapi nguvu hizo zinatokea. |
.
|
Neno "kujenga uwezo" lina maanisha
watu wengine nje ya jamii husika wanatoa nguvu zao katika kuongeza uwezo. |
....
| Inajionyesha kwenye mawazo
ya "uinjinia
wa maingiliano." |
.
|
Tofauti na neno"kuendeleza uwezo"
ambalo linamaanisha uwezo wa kujiendeleza unatokea ndani ya jamii au ushirika
husika. |
....
.
| (Deutsch:
leistungsaufbau;
leistungsentwicklung,
English:
capacity
development, Español:
desarrollo
de la capacidad, Filipino/Tagalog; paglilinang
ng kakayahan, Français: renforcement
des capacités, développement
des capacités, bâtiment
de capacité, développement
de capacité, fortifier
de la communauté, हिन्दी (Hindi): षमता विकास,
अधिकारिकरण,
Kiswahili:
kujengea
uwezo,
Português: desenvolvimento
de capacidade, Romãnã: dezvoltarea
capacitatii, Somali: awoodsiinta) |
.
| Kujishughulisha
kwa raia: |
...
| Kwa
wawezeshaji wengine, mammlaka zinaonekana kama adui au kipingamizi na kuona
kazi zao kama kuongoza jamii masikini kupinga wapingaji. |
. |
inaweza kuwa
ni vema kwenye mazingira mengine na wakati mwingine huonekana kama kujihusisha
kiraia zaidi ya kujihusisha
kijamii." |
.
|
Njia inayotumika
katika moduli hizi (zimetengezwa Afrika) zinaona umuhimu wa kuzileta mamlaka
zote kwenye upande mmoja, ni kama kuongoza kwenye uendelevu na kutii sera
za taifa za kuondoa umasikini.
|
.
.
...
| Kuwasaidia
masikini na wahitaji katika nyanja zote, na inapatikana katika dini zote
duniani. na pia kuna kuto na kutoa, |
.
|
Kama zawadi
zako zinamfanya mpokeaji kuwa tegemezi
kwako, utakuwa humsaidii kujisaida au kumsaidia iliaweze kujimudu. |
....
| Unapotoa
pesa kwa ombaomba mitaani, utakuwa unamfundisha awe ombaomba zaidi. |
. |
Kama msaada
wako utamsaidia yule anayepokea (Anagalia hadithi ya Mohammed na kamba
katika hadithi),
itakuwa ni zawadi muhimu. |
.
.
.
.
..
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|