Jamii kujitawala, kujiwezesha na kujiendeleza
M
DeutschLa versión española de este documento.La version française de ce document.ItalianoKiswahiliRussian Version
.
Maendeleo ya jamii:
..
Jamii inapoendelea inakua pia. Angalia neno, Maendeleo. Haimaanishi kuwa kubwa na maarufu. ni kuwa ngumu na imara zaidi. . Jamii haiendelezwi na mwezeshaji, kama ua kuwa refu zaidi ya ayelivuta. jamii inajiendeleza yenyewe. Mwezeshaji ana ihamasisha tu, anawahsaur na kuwaongoza wanajamii kujiendeleza
..
Watu wengine wanaamini maendeleo ya jamii ni kuwa tajiri –– kuongezeka kwa mali au kipato. inaweza kuwa lakini ni zaidi . Nio mabadiliko ya kijamii, ambapo jamii inakuwa na nguvu na kuongeza idara, nguvu za pamoja na kubadilika kisifa.
.
Maendeleo ni kuongezeka kinguvu na uwezo katika vipimo vyote sita vya tamaduni.
.
 (Deutsch: gemeindeentwicklung, English: community development, Español: desarrollo comunitario, Français: Développement communautaire, Português: desenvolvimento da comunidade, Somali: Horumarka Bulshada).
..
Mafungu:
...
Mafungu ni zawadi.
.
Mafungu ni zawadi. kuhamisha kuhamisha
....
katika ukurasa huu utaona utoaji mafungu si kitu cha kuvutia na kusisimua, kwa sababu kadha wa kadha. katika kila mradi wa kuzalisha kipato tunalenga katika kuwafundisha washiriki namna ya kuzalisha (kutengenrza) kipato kipya, kuwapa mafungu badala ya mikopo, kutawafanya kuwa hodari wa kupokea zawadi zaidi ya kupokea mikopo hata bila ya kuwa na miradi. . Sio endelevu. Pia ni sawa na wakati tunaisadia jamii, tunakutana na tatizo la kutengeza maendeleo yenye uelekeo tegemezi kama tukiwapa tu mafungu ili kupata huduma za kijamii. Kama tukiwafanya washiriki na kuchangia, kutasaidia kuwafanya wawe imara na wenye kujitegemea.
...
Uwezeshaji inahusisha kupunguza au kutotoa mafungu.
.
(Deutsch: Zuschuss, English: grant, Español: subvención, Français: subvention, Português: subvenção).
Mafunzo ya utawala wa jamii:
...
jamii mafunzo ya utawala yamelengwa katika kuondoa umasikini, kuimarisha kipato katika jamii kwa kupanga na kutawala makazi ya binadamu, mali za jamii na huduma za jamii, ujenzi ,uendeshaji na matengenezo. Haya ni mafunzo kwa vitendo, sio tu kwa kuhamisha ujuzi na taarifa kwa watu. . Mafunzo kama namna mojawap ya kuendeleza jamii na kuiondoa katika umasikini, kuhamasisha ushiriki wa jamii, kuhamasisha demokrasia na utawala, ni zaidi ya kuwafundisha stadi za kazi na ujuzi. Inahusisha pia kuwaandaa na kuwakusanya.haya ni mafunzo ya kiothodoxi
.
 Mafuzo haya kuyafana rasmi kunaleta hatari ya kupunguza nguvu ya mafunzo, kwa kuhamasisha kufundisha kuhusu ujuzi, uwezeshaji na uandaaji wa mafunzo.
...
Mafunzo ya utawala yaliandaliwa ili kuongezea uwezo na kuleta umakini katika ngazi za juu na kati katika uongozi katika shirika linalopata faida.  . Hapa imerekibshwa na kuongezewa maarifa mengine ya ushirika wa kibiashara kwa nia ya kuwakusanya na kuwaongezea/kuwapa nguvu jamii zenye kipato kidogo ili kujisaidia wenyewe katika kuleta mabadiliko.
.
 (Deutsch: gemeinde-management-training, English: community managementtraining, Español: adiestramiento para la gestión comunitaria, Français: formation pour la gestion de la communauté, Português: ~).
..
Mamlaka:
..
Mamlaka ni nguvu ambayo watu huhisi ni halali.
..
Kazi ya mwezeshaji ni kuainisha mamlaka zilizopo kwenye jamii husika na kuona zikibadilika na pia kujaribu kuotea ni nini kitatokea hapo mbeleni. . wakati unaandaa na kuiwezesha jamii, kama kada hutakii kudharau mamlaka zilizopo.
.
(Deutsch: autorität, English: authority, Español: autoridad. Français: l'autorité, Português: autoridade, Pyccкий: Власть).
...
Maongezi:
...
Katika makundi ya majadiliano unaweza kuwaruhusu washirikikuongea juu ya mawazo yao na kuwajibu wengine pia.Katika Kutafakari tofauti maongezi yanakataliwa. . washiriki ni lazima waelekeze majibu yao kwa kiongozi tu na kuchangia kwenye majadiliano na washiriki wengine. Hii sheria ni muhimu kwa kuwa na majadiliano yenye ubora,  na maamuzi yanayofanywa na kikundi kuwa bora zaidi.
.
Nje ya majadiliano si sehemu yako ya kazi.
.
(Deutsch: wortgefecht, English: cross talk, Español: debate, Français: Joutes oratoires , entretien en travers, Português: conversa atravessada).
...
Mawasiliano:
...
Mawasiliano ni moja ya elemeti kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au ushirika.Angalia: Elementi za nguvu ya jamii.
.
katika jamii na kati yake na nje yake, mawasiliano yanahusisha barabara, nyia za umeme, (mfano, simu, luninga,mtandao) machapisho (magazeti, majarida, vitabu), mitandao, lugha mbalimbali, ufahamu, utayari na uwezo wa kuwasiliana (ambayo inamaanisha udiplomasia, utayari wa kusikiliza na pia kuongea) kwa ujumla.  . Jinsi jamii inavyopata mawasiliano bora, inapata nguvu. (kwa ushirika hii ni nguzo ya mawasiliano, nyanja na majaribio kwa wafanyakazi). mawasiliano hafifu ina maana ushirika goigoi.
.
Unapoihamasisha jamii kufanya jambo, mwezeshaji unatakiwa kufahamu kazi na nguvu ya mawasiliano katika kuwawezesha wanajamii.
.
Elementi za Uwezo / Nguvu.
. Angalia Elementi 16.
.
(Deutsch: kommunikation, English: communication, Español: communicaciones, Français: communications, Português: comunicação).
...
Mazingira (ya kisiasa au ya kiuongozi):
...
Si ubinafsi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: Elementi za nguvu ya jamii Jamii itakuwa na nguvu na itaendelea kupata nguvu na kujiendeleza yenyewe kwa jinsi inavyojikita kwenye mazingira yanayoisaidia. Mazingira hayo ni pamoja na siasa za nchi (thamani na muelekeo wa viongozi wa nchi), na uongozi (muelekeo wa viongozi na wafanyakazi wa serikali, wahandisi, na pia sheria za serikali na mwenendo wake) na sheria za nchii. . Viongozi wa siasa wanapochukua mkondo wa utoaji jamii inakuwa dhaifu, na kama wakichukua mkondo wa kuwawezesha basi jamii inakuwa imara.Jamii zinakuwa imara kama zikiwa kwenye eneo ambalo linasaidia wao kijiendeleza. Unapoisisimua jamii kujiongoza unatakiwa kuwa
,
(Deutsch: umfeld, English: context, Español: contexto (político y administrativo), Français: Contexte (politico-administratif), Português: contexto).
...
Mchango:
...
Watu wengine wanachanganya mchano na ushiriki. watu wengi wanaposikia usemi huu ushirikishwaji wa jamii. wanahisi unamaanisha michango ya jamii wanafikiria jambo moja tu ambalo ni namna watu wanavyojitolea nguvu kazi katika mradi. . Kwa bahati mbaya, kumetokea malalamiko hapo nyuma kuwa wanajamii wamekuwa wakitendewa kama vibarua na kulazimishwa kutoa nguvu kazi (au malighafi nyingine kama, ardhi, chakula n.k). Njia tunayoiongelea hapa ni tofauti kabisa.Ushirikishwaji hapa una maanisha kushiriki katika kufanya maamuzi, na si kutoa michango.Angalia michango ya jamii.
.
(Deutsch: beitrag, English: contribution, Español: contribución, Français: contribution, Português: ~).
...
Mchango wa jamii:
...
tunaposema ushiriki wa jamii si sawa na mchango wa jamii (ingawa tunaweza kukosea na kuhisi ni sawa), ila vyote ni muhimu. . Ushiriki wa jamii unaiugawa mradi kuwa wa kijamii au kutokuwa wa kijamii, michango ni muhimu katika kuhakikisha kuwa wanachama wanajisikia kuumiliki mradi, yaani wamewekeza si kwa mba wameletewa tu.
.
Tunashauri asilimia hamsini ya michango katika miradi tunayoiongoza itke kwa wanachama wenyewe. Mwanzo hiiitaonekana kama ni ndoto na jambo gumu wa wanajamii wengi,apo tunatakiwa kuwaeleza kuwa hata nguvu zao wanazojitolea zinahesabiwa katika mradi, utashangaa nikiasi gani wamekwisha jitolea kwenye mradi. . Tunatolea mfano muda unatumiwa na wanajamii katika kupanga kuhusu mradi, kutoa mawazo yao, n akupangilia mradi nimichngo pia.na pia waeleze kuwa mchanga na nguvu kazi inayotolewa pia inahesabia kuwa ni mchango.
.
(Deutsch: gemeindebeitrag, English: community contribution, Español: contribución comunitaria, Français: contribution de la communauté, Português: contribuição da comunidade).
.
Miradi ya kijamii:
...
Mradi a kijamii ni ni mradi ammbao umetengenezwa na kuendeshwa katika jamii, ambapo maamuzi (utawala na m ipango) hufanywa na jamii nzima, . An agency that is formed from outside, and has decisions made for it from outside, may be community located, but is not community based. See the Acronym, Mradi wa jamii.
...
(Deutsch: gemeindenahe organisation, English: community based organization, Español: organización basada en la comunidad, Filipino/Tagalog: Organisasyong Batay sa Komunidad (OBK), Français: Communautaire, organisation a basé dans la communauté, Português: comunidade fundou organização).
Muongozo:
....
"muongozo" ni mpangilio wa kazi katika kufundisha
.
Ukurasa pepe huu umekusanya moduli nyingi za kufundishia. Kwa pamoja zinatengeneza muongozo kwa ajili ya mwezeshaji na kwa wataalamu mbali mbali kwa ajili ya kuiwezesha jamii kuinua kipato chao cha kiuchumi. . Muhtasari na maelezo ya muongozo huu yako kwenye waraka Turusi ya muongozo wa mafunzo ya utawala wa jamii, ambao utatumika katika kupanga mradi na kuongezea nguvu jamii zenye kipato kidogo.
.
(Deutsch: studienplan, English: curriculum, Español: programa, Français: programme d'études, Português: currículo).
....
.. 
Mwandishi (Author) Phil Bartle
Mtafsiri (translated by)
Alpha Mukama

––» «––
..
.
What is Community?
African Awareness Committee of Camosun College
Would you like to join the team?
.Nenda Kwa Watu
Training Modules
CMP Strategy Evaluation
.5
..
Web References for the Textbook
.Akan Studies5
The site map lists (and links) to all web oages (in English) on this web site Link to the home page of this web site
Three Mobiliser Handbooks
2007.05.17 
Following the path of least resistance makes all rivers and some men crooked