.
...
| Jambo
moja la msingi sana katika kujifunza ni kwamba, tunapoona kitu hakiendi
sawa huwa tunatoa pingamizi, kutoa pingamizi mara nyingi hakulirekebishi
jambo hilo badala yake inaliweka jambo kuwa baya zaidi. |
. |
Kwanini?
Kwa sababu binadamu anajisikia kama amevamiwa endapo mtu anatoa pinagmizi.
Pingamizi linapunguza kujiamini kwetu na ushupavu wetu. Tunaanza kujitetea
badala ya kurekebisha jambo lenyewe. |
...
| Tunapoiwezesha
jamii, kuongoza watendaji au wafanya kazi, tunatakiwa kutegemea kuwa watafanya
makosa, na tuwe tayari kujiandaa na makosa hayo katika njia mbazo zitasaidia
kufikia malengo yetu. |
. |
Kuonyesha
hasira zetu, kutoa pingamizi kwa mtu aliyetenda jambo hilo hakuta kuw ana
maana yoyote zaidi ya kutengeneza chuki na kulipia hasara kubwa kw amtu
aliyetenda kosa hilo.Angalia kwenye maneno muhimu: Makosa,
Hasira,
na Sandwich na
tatuta namna ya kurekebisha kosa hilo bila kuonyesha pingamizi. |
...
..
.
...
| pinganizi
ni
aina yoyote ya izuizi katika kufikia malengo u liyojiwekea. |
. |
mpangilio
mzuri
wa mradi unavitambua vipingamizi na kutengeneza namna ya kuviepuka
kwa kutumia rasilimali zilizopo. |
.
..
..
..
|
(Deutsch:
, English: , Français: ,
Português:
, Español:
).
|
..
––»«––
|