| .............. |
..
..
| Wakati
mwingine huitwa ramsa jamii, Kutoka kwenye neno la kilatini anima
(uhai, nafsi, moto, mwendo-binafsi ). kuisaidia au kuiongoza jamii
ili ijiendeleze yenyewe, ili iishi ili iendelee |
. |
Wakati mwingine
hutumika kama mbadala wa uhamasishaji. Ramsa inamaanisha kuungana na kuisaidia
jamii kufanya kile (kwa umoja) inachotaka kufanya. |
..
| Mafunzo
ya utawala wa kijamii yanaichukua ramsa katika ngazi nyingine, kutumia
mafunzo ya utawala kuongeza uwezo wa jamii husika, au shirika la kijami,
kufanya maamuzi, kupanga, na kupanga utawala wake binafsi. Inawafundisha
wanajamii na viongozi wa kijamii juu ya njia za utawala zinazotakiwa ili
kuisaidia jamii kujiendesha yenyewe. |
. |
Pia inatia
moyo na kuwafundisha viongozi wa kiserikali, mamlaka husika na viongozi
wa jamii kuacha ubosi wa kutoa nyenzo na huduma. watajifunza kuiwezesha
jamii kutambua rasilimali na kuchukua hatua katika kutoa na kuimarisha
makazi ya binadamu na huduma muhimu |
.
..
..
.
|
(Deutch:
animator,
English:
animator,
mobilizer,
activist,
Español:
activista,
Filipino/Tagalog: Pagbibigay-Buhay,
Français: mobilisateur,
animateur,
Italiano:
animatore,
日本語:
訓練士または助成人,
Kiswahili:
ramsisha.
Português:
animador,
Romãnã: animator
Tiên Việt: người
nhiệt tình, Tiên Việt:
người
vận động)
|
...
...
...
| (Deutsch:
korruption,
unehrlichkeit,
English: corruption,
dishonesty,
Español:
falta de
honradez, Filipino/Tagalog: di-matapat,
Français: malhonnêteté,
Kiswahili:
rushwa,
Português:
desonestidade,
Romãnã: necinste,
Somali:
daacaddarro) |
.
.
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|