...
...
|
Mfano kama kuna hali
mbili tofauti, na moja (B) ni matokeo ya ila ya kwanza (A), hapo tunasema
uhusiano wao ni wa kisababishi, kati ya "A" na "B". "A" itakuwa
ni kisababishi na "B" itakuwa ni matokeo. Matendo na hali ya A lazima iwe
inayojitosheleza na ni muhimu ili iitwe kisababishi cha "B".
|
...
| Huu
ni uhusiano kati ya vitu viwili, ambapo mabadiliko katika kimoja yanaonekana
kuwa sababu ya mabadiliko katika kitu kingine.Hili ni tatizo kwa wanasayansi. |
. |
Joto
linapowekwa katika kitu, kwa mfano molekyuli zinakwenda kwa kasi sana. |
.
| Tunaamini
kuwa ukitumia joto (kama kisababishi au si kisababishi) lina kawaida ya
kufanya molekyuli kwenda kasi (zikiwa zimesababishwa au la). |
. |
Wanasoshiolojia
wanasema (ingawa ni vigumu kutabiri) kuwa kasi ya kujiua inaweza kutabirika. |
...
| Kama
jamii ina wakatoliki wengi basi kasi ya kujiua huwa ni ndogo (imepimwa
kutoka kwa watu wanaohudhuria kanisani). |
. |
Pale
ambapo talaka inakuwa ni ngumu kupatikana basi kasi ya kujiua huwa ni kubwa
kwa wanawake ( kama ilivyopimwa na sheria). |
...
| Hatuna
sababu za kisayansi kusema kuwa matokeo hayo yasahalalisha kuwa kipingamizi
juu ya talaka husababisha au huongeza kasi ya kujiua miongoni mwa wanawake
walioolewa, au kwamba ukatoliki unapnguza kasi ya kujiua (pengine kunakuwa
na ripoti ndogo ya matukio). |
.
...
.
...
| Sherehe
ni furaha juu ya mabo fulanni, mara nyngi ni juu ya jambo ambalo linambadilisha
mtu au kitu. Sherehe jambo la wazi. |
. |
Kwa
mwezeshaji, sherehe za kumaliza mradi wa jamii ni za muhimu na ni muhimu
katika kipengele cha kuiwezesha jamii, ambapo jamii itafahamika kwa kujihusisha
kikamilifu katika kuhisaidia. |
.
....
..
..
|
Kutokuwa
mbinafsi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu,uzito na uwezo wa jamii
au muundo. angalia Elementi
za nguvu ya jamii.
|
..
| Si
ubinafsi inaweza kutafsiriwa kama namna ambavyo oganaizesheni (au kikundi)
inavyokuwa
na uwezo wa kujitoa/ kujinyima kwa ajili ya watu (au kikundi) kwa
ujumla. katika sosholojia ni sawa na namna ambavyo mtu anakuw atayari kujitoa
kwa ajili ya faida ya jamii. (inaangaliwa kama ni namna ya kujitolea,
kujinyima,fahari, kusaidia, heshima, kuwajibika, ujasiri, undugu. |
....... |
Katika
jamii nyingine kutokuwa mbinafsi wengine wanajitoa muhanga kwa ajili ya
nchi zao.Katika uwezeshaji ina maana ya uwezo/uamuzi wa kuchangia rasilimali
(hii inahusisha pia muda wako binafsi, nguvu) kwenye jamii bila
kutegemea malipo. KAma jamii itaendelea kutokuwa wabinafsi, itasaidia sana
katika maendeleo ya hiyo jamii. (Mahali ambapo watu binafsi, familia
au kikundi ni wenye tamaa ya mali zaidi ya maendeleo ya jamii,hii
itadhoofisha jamii).Ukiifanya jamii ijikusanye na kufanya jambo, basi ni
lazima mwezeshaji ufahamu kuhusu kujitoa/kutokuwa mbinafsi ili kuiwezesha
jamii husika. |
.
..
| Soshiologia
itendayo kazi: |
..
| Tofauti
na soshiologia halisi,soshiologia
ifanyayo kazi inajaribu kufanya mabadiliko katika jamii. |
. |
Uwezeshwaji
wa jamii ni sehemu ya soshiologia itendayo kazi. |
.
..
––» «––
|