.
..
| Ni
zaidi ya nyimbo na ngoma, ni sayansni ya jamii inayomaanisha namna nzima
ya kuishi na kujifunza mitazamo na tabia zinaziounda jamii husika. katika
nyanja zote sita kiteknolojia,
kiuchumi,
kisiasa,
kimchangamano,
kidini
na ki
ulimwengu. |
. |
Kiungo
muhimu cha tamaduni nialama"tamaduni si jambo la kigenetiki, inapasishwa
kwa kutumia alama. na wakati mwingine inaitwa "superorganic"sababu
inatengenezwa na miundo ambayo inapasisha miundo ya kibaiolojia na kutengeneza
tamaduni. |
...
...
.
...
| Shirika
la misaada linapoomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii au wawakilishi
huwa mara nyingi wanauliza kama jamii inahitaji mradi. najibu mara nyingi
huwa ni, "ndio" Shirika/mwakilishi anatoa ripoti kuwa kulikuwa
na ushirikishwaji wa jamii. hiyo si sahihi |
. |
Kilichotendeka
pale ni ushauri tu, sio ushirikishwaji wa jamii katika kufany amaamuzi
na kupanga juu ya mradi husika. (tofauti na matakwa ya shirika husika). |
.
.
| Thamani
inayokubalika na jamii: |
..
| Thamani
inayokubalika kipimo
cha jamii ni muundo
wa mawazo, wakati mwingine ni utata, kutokuwa makini au kujichanganya,
kwa mawazo ya watu kuhusu zuri au baya, uzuri au ubaya na nini ni sahihi,
nini si sahihi, katika kuelezea vitendo vyao. |
. |
kipimo
cha utamaduni.
Kipimo = kielelezo. angalia"Utamaduni."
kwa kujifunza; haupasishwi toka kizazi mpaka kizazi kwa kurithi. Itikadi.
Thamani.
Angalia
vipimo. |
.
.
...
|
Thamani
a msingi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa
jamii au ushirika. Angalia: Elementi
za nguvu ya jamii.
|
.
| Hii
ni uwezo wa jamii kushikiana katika uthamani, hasa kuwa wakokatika jamii
inayowajali na kutimiza matakwa ya wanajamii wake. |
... |
Jinsi
wanajamii wanavyo shirikiana, au kuelewana na kuvumiliana katika thamani
zao na mwelekeo wao ndio jamii yao itakavyokuwa imara. Ubaguzi, uchaguzi,
ushupavu vinaizorotesha jamii. |
...
|
Unapoisisimua
jamii kujikusanya na kufanya jambo, mwezeshaji unahitaji kuwa macho na
kazi ya tamaduuni zao katika kuwawezesha wanajamii husika.
|
.
..
...
| Hili
neno linatumika katika kuelezea kazi za wanasayansi wa soshiolojia katika
kuleta mabadiliko. |
. |
Mwezeshaji
anajiingiza katika tiba ya jamii |
.
.
...
––» «––
|