.
..
| vitendo
hutokea pale ambapo, kikundi lengwa kinakuwa kimefanya jambo fulani,bila
ya kujifunza kuhusu kitu hicho. Mafunzo mazuri ni yale ambayo washiriki
wanajifunza kwa vitendo. Wewe kama mwezeshaji ni kuhamasisha na kuongoza
jamii kivitendo. |
... |
Kuwakusanya
wanajamii pamoja kwa ajili ya mkutano au kuunda kamati si kuwawezesha.
hapo hujafanya lolote bado. kuwawezesha ni baada ya kuwahusisha katika
vitendo. |
.
..
––» «––
|