| ......... |
.
|
MANENO
MUHIMU KWENYE KISOMO CHA "KUDHIBITI MUINGILIANO"
|
...
| Neno "Udhibiti"
ni muhimu kwa usaidizi wa kimaendeleo. (Neno lenyewe halipatikani kwenye
kamusi nyingi za kiingereza). Linaashiria "uwezo" wa kitu "kudhibitiwa"
(kuendelezwa) baada ya kuondolewa kwa msaada kutoka nje. Kwa jamii yenye
mradi wa kusambaza maji: kurekebisha,kusafisha na kutumia pampu baada ya
ujenzi ndiyo haja yao kubwa. |
.. |
Kwa Mfadhili,ni kuendelea
kwa mradi baada ya yeye kujitoa. kwako wewe mchochezi wa jamii, haja yako
kuu ni kuendelea kwa shughuli za kuiboresha jamii utakapoondoka. Kwa wanamazingira
na wanaekologia, haja yao kuu ni kwamba kitendo kidhibitiwe (kwa mfano;
kibiologia) na mazingira na kwamba rasilimali zisizoweza kufufuliwa hazitatumiwa
kwisha. |
..
|
(العربيّة:
الاستمرارية,
中支:
持续性,
Deutsch:
Nachhaltigkeit,
die
nachhaltigkeit,
English:
sustainability,
Español:
sostenimiento,
Filipino/Tagalog: maipapatuloy,
Français:
durabilité,
हिन्दी: निरंतरता,
Italiano:
sostenibilita,
日本語:
継続,
Kiswahili: udhibiti,
Romãnã: dezvoltare
durabila, Português:
sustentabilidade,
Somali:
xejin
اردو: سسٹينيبِلٹ)
|
––»«––
|