Ukurasa wa nyumbani


Tafsiri:

Arabic
English
Español
Filipino
Français
Hindi
Italiano
Japanese
Korean
Malay
Português
Romãnã

Aina zengine:

Ufahamu
Neno

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

KIKAO CHA KUCHANGIA MAWAZO

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Lillian Odembo Naka


Utangulizi wa kisomo (kitovu)

Nyaraka zinazopatikana hapa Kuchangia mawazo Kisomo

Uamuzi wa pamoja wenye muundo

Kikao cha kuchangia mwazo ni uelimishaji wa aina yake. Kando na mifumo ya uelimishaji ya kiothodoxi, nia yake sio kupeana habari au ujuzi; nia yake ni kwa kundi la washiriki kufanya uamuzi wa pamoja.

Ni sehemu moja kwenye harakati ya kuimarisha uwezo,utakao pelekea kupangwa kwa (1)kufanya maamuzi na kwa (2)kitendo. (Ni dhahiri kuwa msahalishi na washiriki watajifunza mengi kutokana na kikao hicho).

Katika kisomo hiki, nyaraka zimetengwa katika kurasa tofauti za tovuti hii.

Kwenye maneno muhimu, tazama"Kuchangia mawazo."

Tazama pia Kuchangia mawazo katika Aidworkers' Net.

––»«––

Kikao cha kuchangia mawazo:


Kikao cha kuchangia mawazo

Ukinakili kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi
na uihusishe kwa www.scn.org/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 2009.04.30

 Ukurasa wa nyumbani