MICHORO INAYOELEZEA MAJANGA
Na Julianna Kuruhiira
imetafsiriwa na Jacob Lisakafu
Nakala
ya kufundishia
Ukitaka
kucopy au download kila picha au mchoro kutoka katika URL,Bonyeza.Size kubwa ya picha
itakuja peke yake. na unaweza kukopy. (Tumia save-button). Kurudi kwenye nakala hii
html text,bonyeza kwenye "BACK" button katika tool bar.
Mchoro
wa kwanza: Janga linavyotokea:
Mchoro
wa Pili: Kujitokeza kutoa msaada; Maitaji muhimu yanaitajika:
Mchoro
wa Tatu: Kujitokeza kutoa msaada;Matibabu kwa walengwa:
Mchoro
wa Nne: Kuanza kwa kujitegemea hata kwenye kambi za wakimbizi:
Mchoro
wa Tano: Kuondoka kwenye kambi za wakimbizi kuelekea nyumbani:
Kama
unaona michoro hii inafaa,tafadhari tufahamishe jinsi gani ya kuitumia. Kwa michoro
zaidi kama hii, angalia: Michoro
inayoonyesha mduara wa mzunguko wa Jumuia, Michoro
inayoonyesha jinsi ya kuzalisha kipato, Michoro
inayoelezea Majanga, Michoro
inayoelezea Kusimamia,na kutoa habari, Michoro
ya ziada.
––»«––
Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi na uiambatanishe kwa www.scn.org/cmp/
Copyright:
Phil Bartle
Imeratibishwa mwisho: 2008.06.27
|