Nenda
Kwa
watu;
Ishi
kati yao;
Wapende;
Jufunze
kutoka kwao;
Anzia
walipo;
Fanya
kazi pamoja nao;
Endeleza
kutokana na walicho nacho.
.
Lakini
kwa viongozi shupavu,
Juhudi
itakapofanyika,
Kazi
ikamilike,
Watu
watasema:
"Tumefanya
sisi wenyewe"
Lao Tsu |
|
|