Michoro ya Kipindi cha Kuimarisha Jamii
 Ukurasa wa nyumbani
 Uhamashishaji


Fasiri:

English
Español
Français

Mitindo mingine

Maonyesho ya Power Point

Michoro Mingine

Uchile

Mataifa ya Kwanza

Kusini Mashariki mwa Bara Asia

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

MICHORO YA UHAMASHISHAJI

Mandhari ya Kiafrika

na Julianna Kuruhiira

imehaririwa na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Wamalwa Philip


Vifaa vya Mafunzo

Ili kunakili na kutumia kila picha kutoka kwa mtandao, bonyeza juu ya picha hiyo. Utakapobonyeza, picha hiyo itatokea nzima ikiwa peke yake. Inakili (Ukitumia kitufe cha "Save_as" kwenye kompyuta yako). Kurudi kwa hati ya maneno haya, bonyeza kitufe cha "BACK" kwenye mkanda uitwao "tool bar".

Mchoro 1: Mkutano wa Jamii; Kuhamashisha:
Mchoro 1

Mchoro 2: Kutambua Mahitaji ya Jamii; Kuunda Mpango:


Mchoro 2

Mchoro 3: Mkutano wa Jamii; Kuamua ni Nini Vipao Mbele:


Mchoro 3

Mchoro 4: Mkutano wa Kamati Kuu ya Jamii; Kupanga Mradi:


Mchoro 4

Mchoro 5: Mafunzo ya Kiufundi ya Jamii; Wataalamu wa Wizara ya Serikali Katika Mazungumzo na Jamii:


Mchoro 5

Mchoro 6: Kuhamashisha Jamii; Afya na Usafi:


Mchoro 6

Mchoro 7: Mafunzo ya Jamii juu ya Usimamizi wa Miradi; Semina ya Mambo ya Fedha na Uhasibu:


Mchoro 7

Mchoro 8: Mchango wa Jamii; Kutoa Vifaa:


Mchoro8

Mchoro 9: Jamii Kazini; Kuchimba Mtaro:


Mchoro 9

Mchoro 10: Semina ya Mafunzo; Kujifunza Ujuzi wa Usimamizi na Uongozi:


Mchoro10

Mchoro 11: Mafunzo: Semina Juu ya Kuandika Ripoti:


Mchoro 11

Mchoro 12: Jamii Ikiendelea na Kazi; Kuunda Matofali:


Mchoro 12

Mchoro 13: Jamii Ikiendelea na Kazi; Ujenzi:


Mchoro 13

Mchoro 14: Mchango wa Jamii: Kuwapa Chakula Wafanyi Kazi wa Kujitolea:


Mchoro 14

Mchoron 15: Mafunzo ya Kiufundi; Kujifundisha Jinsi ya Kutumia Tena Takataka:


Mchoro 15

Mchoro 16: Kufuatilia na Kukadiria kwa Jamii:


Mchoro 16

Mchoro 17: Kutoa Ripoti kwa Jamii:


Mchoro 17

Mchoro 18: Kukamilisha Mradi; Sherehe na Kuadhimisha:


Mchoro 18


Kipindi cha Uhamashishaji

Ikiwa ulipendezwa na michoro hii na kuiona ikiwa ya manufaa, tafadhali tujulishe jinsi ulivyoitumia. Kwa michoro mingine kama hii, tazama: Kipindi cha Uhamashishaji katika Madhari ya Amerika ya KusiniMichoro ya Kipindi cha Kuimarisha Jamii

Michoro ya Kuzalisha Mapato, Michoro ya Majanga, Michoro ya Kufuatilia na Kuripoti, Michoro Zaidi, Uchile

––»«––

Imeundwa Upya: 2008.10.13

 Nyumbani

 Uhamashishaji