...
.
.Vitoleo
vya mafunzo.
.
|
Kusudi na
shabaha ya kuwa Mhamasishi
|
...
| Moja
wapo ya misemo ambayo tunatumia tunapo funza ukurungenzi ni, "Kama hujui
unapoelekea basi utapita popote pale." (Tazama "Misemo.")
Hii
pia inatumika unapo jitayarisha kuwa mhamasishaji. |
. |
Ni
rahisi kuelekea huku na kule ukionekana kwamba unafanya kazi mingi,ukiandaa
mikutano,kuhakikisha nyuwa zimejengwa,kuongea na kuandaa mikutano na wazee
wa kijiji, kuongoza vikundi vya utetezi, kuchechemua vitendo ,bila ya kuendelea
mbele kusudi kuendelesha jamii dhabiti . Kwanza unastahili ujue lengo
lako binafsi kisha, kwa maandishi,ya wale walio karibu nawe. |
...
| Hapa,unastahili
kuanza kwa kuandika katika shajara yako ama kitengo ulichoweka kando kwa
kusudi ya kunukuu lengo na dhamira. |
. |
Unafaa
kuyachukulia kama lengo yako binafsi bali sio tu kama maadili ya mtu mwingine. |
...
| Lengo
la uhamasishaji ili kuendelesha jamii linaweza kubadilika kutoka mtu mmoja
hadi mwingine au pia kulingana na jamii tofauti. Hata hivyo,kuna
mambo yanayo lingana. |
. |
Miongoni
ambazo ni: Kumaliza umasikini,
kuwa
na uongozi bora, mabadiliko katika vitengo vya jamii, kuendeleza kadiri
ya jamii, kuhamasisha maskini na watu waliotengwa, na kusawazisha
jinsia. |
...
| Unapoendelea
kusoma kitoleo hiki na kujulisha watu wengi,utagundua ya kuwa lengo haya
yanaendelea kuwa ya kuvutia na pia yenye changamoto kubwa aghalabu unapozidi
kuelewa. |
. |
Rudi
kwa shajara yako mara kwa mara ili uweze kusashisa,kuendeleza na pia kuongezea
vipengele kwa lengo unazo. |
...
| Kwa
mfano kupunguza umaskini ni changamoto kubwa unapo jaribu kurekebisha kuliko
tu kuiandika chini.Tunajifunza kuzuia "kuongeza umaskini" kwa sababu
kuandika inaondoa uchungu na wasiwasi lakini haileti suluhisho la kudumu |
. |
Umaskini
sio tu kukosa pesa (kama utakavyo gundua baadaye ukiendelea kusoma vitoleo
hivi ) .Ili kukabiliana na mambo yanayoleta umaskini tunafaa kupigana
na utepetevu, ujuhula,
ugonjwa,
na uongo. Huu tu ni mojawapo
ya mifano ya umuhimu na manufaa inayoletwa unapozidi kuelewa lengo na kupata
ufasiri zaidi |
...
| Vilevile,
kuwa na uongozi mwema haumaanishi tu kuwa na kiongozi imara ama mwenye
nguvu bali ina maana ya kuwa na uwazi,kuhusisha watu wengine,imani na amani
na pia mwelekeo wa siku za usoni |
. |
Utaweza
kujifunza ya kuwa huwezi kutarajia viongozi wa jamii kuwa (ama wawe)
na
uwazi wanapo tumia mali ya jamii ikiwa wewe mwenyewe hauna uwazi unapoendelea
na shughuli au kazi yako katika jamii. |
...
––»
«––
|