Ukurasa wa Nyumbani


Tafsiri:

Arabic
Bahasa Indonesia
Bengali
Bulgarian
Català
Cebuano
Chinese
Deut
English
Español
Ewe
Farsi
Filipino
Français
Galego
Greek
Gujarati
Hindi
Italian
Kinyarwanda
Kiswahili
Malay
Polski
Português
Punjabi
Romãnã
Sindhi
Somali
Ruso
Telugu
Thai
Tiếng Việt
Urdu
Yoruba

Mifumo mingine

Text
Power Point

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

KUJITAYARISHA

Mwongozo wa Mhamasishi

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsiri Marcellus Chegge


Utambulisho wa Kitengo

Hati zilizoko kwa kitengo cha Kujitayarisha

Kujitayarisha kuwa mhamasishi

Ili uweze kufaulu kueneza maendeleo ya wenyewe kwa wenyewe katika jamii, lazima ujitayarishe.

Lazima ujue na ufahamu lengo lako; lazima uijue na kuifahamu jamii unayolenga; lazima uwe na ujuzi unaohitajika; itakubidi uelewe fikira muhimu za uhamasishaji.

Kitu cha kwanza kufanya sasa ni kuanzisha shajara. Daftari isiyo gali itafaa. Penginepo ungependelea kutumia daftari nne kwa majina haya: (1) Vikomo na Fikira; (2) Jamii inayolengwa; (3) Ustadi wa kuhamasishi, na (4) Shajara ya kila siku.

Kwa njia yeyote ile upendayo kujiandaa, ni muhimu uanze kuandika muhtasari na kumbukumbu sasa. Andika ukiwa fikirani na atakayechukua mahali pako kama msomaji wako.

Kitengo hiki kinakufahamisha vitu unazohitaji ili kujitayarisha. Usithanie ya kwamba unaweza kujitayarisha mara moja na ukamaliza.

Sisi wahamasishi huendelea kwa mfurulizo kujifunza zaidi na zaidi kuhusu yote yaliyotanjwa katika sura hii, ni njia isiyo na kikomo na hatutafaulu kama tutafikiri kwamba tunao ujuzi wote.

––»«––

A Training Session:



Ukinakili kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi
na uihusishe kwa www.scn.org/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
––»«––
Imehakikiwa: 2009.11.14

 Ukurasa wa nyumbani