Jamii kujitawala, kujiwezesha na kujiendeleza
CebuanoChineseDeutschEnglish version of this documentLa versión española de este documento.La version française de ce documentGreekItalianPolskiA versão portuguesa deste documentoRumanianRussianSomaliTagalog (Philipinnes)
Sindhi
..
Ijue Jamii Unayolenga
Nani Afaidikaye Tokana Vitendo Vyako?
Mwandishi (Author) Phil Bartle
Mtafsiri (translated by)........Marcellus Chegge,  Kiswahili Translator, UN-HABITAT, Iraq, Nairobi
Vitoleo vya mafunzo.
Kuwa mtafiti wa jamii na mchanganuzi;
Mfinyanzi shupavu lazima ajue sifa bainifu ya udondo
..
Methali nyingine itumikayo katika uwezeshaji wa jamii ni “Mfinyanzi lazima aujue udongo wake.”  Udongo wako ni jamii. Unataka kuifinyanza, uiendeleze ipate nguvu. . Ili ufaulu kufanya hivyo lazima ujue na kuifahamu vyema hiyo jamii (na pia ujue na kufahamu hali ya jamii kijumla). Lazima ujue mengi iwezekanavyo kuhusu mpangilio wa hiyo jamii, uchumi wake, lugha zake, matatizo yake, siasa zake, ramani zale na ikolojia yake. 
..
Utafiti wako usiwe tu hutafuta orotha ya mambo ambayo hayahusiani; utahitaji kuyachanganuza  hadi uelewe kina cha jamii hama mfumo wa ujamaa.  . Waza kuhusu jinsi elementi tofauti zinahusiana.  (Tazama “Jamii ni nini?” Na “Utafiti wa Jamii”).  (See What is Community? and Social Research).
..
Mwanzo mzuri ni kuchora ramani (map). Watu wanaishi wapi? Kuna huduma gain kati ya hiyo jamii? (kama barabara, vichochoro, mitambo ya maji, kliniki, shule, usafi afya, soko na huduma zinginezo). . Baadaye, utakopo waongoza (assessment) wana jamii kwa ukadiriaji wa wa hali yao (rasilimali, mahitaji, mafaa na shida), utawaongoza kuchora ramani ya kijamii. Ukichora yako binafsi sasa, utasaidika kwa matayarisho ya hiyo ramani ya pamoja baadaye.
..
Andika muhtasari wako kwenye shajara. Eleza maoni yako kuhusu: mpangilio wa jamii, uchumi, lugha, siasa, thamana za mgao, tamaduni, na uhusiano wao wa kimaumbile na mazingira (ikolojia). . Endelea kuchanganuza jinsi elementi tofauti zinahusiana.
..
Utajifunza ya kwamba jamii (community) sio tu mkusanyiko wa watu binafsi lakini ni mfumo unaopita mipaka ya hao watu binafsi. Kama mfumo jamii ina vipimo kadhaa, vya kiteknolojia (technological), via kiuchumi, vya kisiasa, via jingo la ustawi wa jamii (institutional), via itikadi (ideological) na kimawazo, Watu huja na kuondoka katika jamii, kwa kuzaliwa (economic), kifo na uhamiaji (political), na hata hivyo mfumo unashikilia. Huu mfumo hubadilika kila wakati. . Kazi yako ni kuelewa huu mfumo ili uweze kuashiria kwa kudukua (nudge) hayo mabadiliko na kuyaelekeza upande fulani (kama ilivyoelezwa kwenye vikomo vyako ambavyo tulivijadili awali).
..
Kuna chungu nzima ya kujifunza kuhusu jamii unayolenga  na haifai kukomesha hayo mafunzo.
––» «––
...
What is Community?
African Awareness Committee of Camosun College
Would you like to join the team?
.Nenda Kwa Watu
Training Modules
CMP Strategy Evaluation
.5
..
Web References for the Textbook
.Akan Studies5
The site map lists (and links) to all web oages (in English) on this web site Link to the home page of this web site
Three Mobiliser Handbooks
2007.06.10 
Following the path of least resistance makes all rivers and some men crooked