| .............. |
..
..
| Bila kichwa (ceph = Kichwa).
Enzi za makundi madogo madogo ya wafugaji na waokotaji, mifumo ya kisiasa
ilikuwa michache, ni kama wote walikuwa sawa. Hakukuwa na wafalme au machifu,
wasomi wanaita hayo makundi yalikuwa asefalus yaani bila kichwa. |
. |
Katika jamii
za kisasa, kuna makundi tofauti tofauti na pia mara nyingi wanabadilisha
makundi ya marafiki. ni katika jamii ndogo au ambazo hazijajizatiti sawasawa
ndio unaweza kukuta mfumo usio na kichwa. |
..
..
..
|
Ku "anthropomorphise"
ni kukipa ubinadamu kitu ambacho si binadamu.
|
.
| Hili
ni tatizo katika baiologia, kwa mfano watu wanaongelea bata au panda kuwa
na familia" (kama binadamu), wakati sivyo. |
. |
Katika soshiologia
na uwezeshaji, tatizo linahusishwa katika mawazo potofu kama kuifanya jamii
kuwa na sifa za kibinadamu. |
.
.
..
..
| Neno "athari," nimatokeo
juu ya kitu, yaliyosababishwa na vitu tofauti tofauti. "Ukila sana
utaathirika kwa kupata kiungulia." |
. |
Neno "athari," kama nomino,
inaendana na neno "muathiriko" namna fulani ya hisia. "nina hisia
kali juu yake," maana yake ninampenda sana. |
..
| Jinsi utakavyokwenda
kwenye jamii kama mwezeshaji kuna athiri jinsi jamii itakavyoitikia. |
.. |
usichanganye neno "athiri" na neno
"madhara," ambalo linahusiana na athari. |
..
..
..
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|