Jamii kujitawala, kujiwezesha na kujiendeleza
Maneno muhimu
C
English version of this textLa versión española de este documento.La version française de ce document.ItalianoKiswahiliPortugueseRussian VersionSomaliCh
CKh
 
............. ...
Chachu:
...
Kwenye kemia, chachu ni kemikali ambayo inaharakisha uwezo wa kitu kutendekana yenyewe kuwa sehemu ya kitendo hicho.
.
Mara nyingi huongeza kasi ya kitendo, kwa hiyo neno chachu ni zuri kumuelezea mwezeshaji.
....
Mweeshaji haanzishi au kubadilisha jamii.
.
Jamii inajianzisha na kubadilika yenyewe.
....
Mwezeshaji anasisimua mabadiliko bila yeye kuwa sehemu ya ushirika wa jamii husika. . Cha muhimu, mwezeshaji atoe uongozi wa muda bila kuwa kiongozi wa jamii. 
...
(Deutsch: katalysator, English: catalyst, Español: catalizador, Français: catalyseur, Português: catalisador)
Communal Facilities and Services:
...
Katika makazi ya binadamu, nafasi nyingine zinamiliikiwa na watu binafsi au familia, hasa nyumba. . vitu vingine kama barabara, maji, au shule vinamilikiwa na kikundi au kwa pamoja, ni mali ya jamii.
...
Kazi na huduma za kijamii, ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, uhodari na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: ELementi za nguvu ya jamii.
.
Makazi ya binadamu na huduma muhimu (kama vile barabara, soko, maji, elimu, huduma za afya), maisha, uendelevu nad uwezo wa wanajamii kupata huduam hizo. ....... Jinsi wanajami wnavyokuwa na uwezo wa kupata huduma hizo katika jamii ndio wanavyozidi kujiwezesha. (ni katika kupi ma uwezo wa ushirika kama vile vifaa vya ofisini, vyoo, na vitu vingine kwa ajili ya wafanyakazi).
.
Unapoihamasiha jamii kufanya kazi, mwezeshaji unatakiwa kuwa macho na umuhimu wa mali za jamii katika uwezeshwaji.
..
(Deutsch: kommunale einrichtungen und dienstleistungen, English: communal facilities, Español: prestación comunal, Français:  service communal, Português: instalações e serviços comunais).
..
..
A:
..
A . A
 ....
A
 ....
(العربيّة (Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français: , Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português: , Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
..
Mwandishi Phil Bartle
Mtafsire Alpha Mukama
––»«––
..
Maneno muhimu