| .............. |
.
..
| Neno
jamii limekuwa likitumika kwa mana tofauti tofauti. |
. |
Wana baiolojia
wanaongelea jamii kama watu katika spishi moja, au spishi tofauti tofauti,
zinazoishi, na kushirikiana au kushindana katika kutengeneza umoja. |
..
| Tangu
kuanzishwa kwa mitandao na teknolojia ya mawasiliano, watu wengi hasa wale
wenye kupenda vitu saresare wameweza kuwa pamoja bil kukutana kijiografia
ila kwa mawasiliano ya kiumeme. |
. |
Katka ukurasa
huu tunaangalia jamii katika njia za kiothodoxi, jamii ni watu wanaoishi,
wenye mipaka ya kijiografia, wanahusiana, kwa mfano katika jamii zinazoanznia
katika ujirani katika miji mpaka katika vijiji. Angalia Makazi. |
..
| Jamii
sio tu mkusanyiko wa watu. Ni watu ambao ni sehemu ya tamduni,
ikishirikisha mawasiliano kati ya watu. vipimo vyake sita vinahusisha,
uchumi, siasa, teknolojia, mawasiliano, thamani, imani na fikra. Haipasishwi
kwa njia ya kibaiolojia ila kwa kusoma. |
. |
kama vile mti
au kitu kingine chochote chenye uhai, kinatokana na chembechembe ndogo,
hivyohivyo katika jamii, binadamu huja na kwenda kwa kufa na kuzaliwa ila
inaendelea kukua na kuongezeka. kamwe si sawia. Jamii inachukuliwa kama
kitu kimoja kizima zaidi ya sehemu sehemu zinazoifanya jamii.Jamii
ni nini?." |
...
.
.
| Makazi
ya binadamu (makazi)
Ina sifa zifuatazo (1) watu wengi, (2)idadi kubwa ya watu na (3)tabia mbalimbali
mfano, mgawanyo wa kazi, utofauti). |
. |
Hakuna kipimo
chochote kwa vitu hivi vitatu, kwahiyo mitaa, kata, na vijijiviko upande
mwingine na majiji makubwa yako upande mwingine, na katikati ni miji na
mikoa. |
.
|
These three variables
affect methods of community strengthening. (Angalia pia Vijiji).
|
.
.
.
..
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|