| ............... |
.
..
| Jamii
inapoendelea inakua pia. Angalia neno, Maendeleo.
Haimaanishi kuwa kubwa na maarufu. ni kuwa ngumu na imara zaidi. |
. |
Jamii haiendelezwi
na mwezeshaji, kama ua kuwa refu zaidi ya ayelivuta. jamii inajiendeleza
yenyewe. Mwezeshaji ana ihamasisha tu, anawahsaur na kuwaongoza wanajamii
kujiendeleza |
..
| Watu
wengine wanaamini maendeleo ya jamii ni kuwa tajiri ––
kuongezeka kwa mali au kipato. inaweza kuwa lakini ni zaidi |
. |
Nio mabadiliko
ya kijamii, ambapo jamii inakuwa na nguvu na kuongeza idara, nguvu za pamoja
na kubadilika kisifa. |
.
|
Maendeleo ni kuongezeka
kinguvu na uwezo katika vipimo vyote sita vya tamaduni.
|
.
..
...
| Mafungu
ni zawadi. |
.
|
Mafungu
ni zawadi. kuhamisha kuhamisha |
....
| katika
ukurasa huu utaona utoaji mafungu si kitu cha kuvutia na kusisimua, kwa
sababu kadha wa kadha. katika kila mradi
wa kuzalisha kipato tunalenga katika kuwafundisha washiriki namna ya
kuzalisha
(kutengenrza) kipato kipya, kuwapa mafungu badala ya mikopo, kutawafanya
kuwa hodari wa kupokea zawadi zaidi ya kupokea mikopo hata bila ya kuwa
na miradi. |
. |
Sio
endelevu.
Pia ni sawa na wakati tunaisadia jamii, tunakutana na tatizo la kutengeza
maendeleo yenye uelekeo tegemezi kama
tukiwapa tu mafungu ili kupata huduma za kijamii. Kama tukiwafanya washiriki
na kuchangia, kutasaidia kuwafanya wawe imara na wenye kujitegemea. |
...
.
.
.
| Mafunzo
ya utawala wa jamii: |
...
| jamii
mafunzo
ya utawala yamelengwa katika kuondoa umasikini, kuimarisha kipato katika
jamii kwa kupanga na kutawala makazi ya binadamu, mali za jamii na huduma
za jamii, ujenzi ,uendeshaji na matengenezo. Haya ni mafunzo kwa vitendo,
sio tu kwa kuhamisha ujuzi na taarifa kwa watu. |
. |
Mafunzo kama
namna mojawap ya kuendeleza jamii na kuiondoa katika umasikini, kuhamasisha
ushiriki wa jamii, kuhamasisha demokrasia na utawala, ni zaidi ya kuwafundisha
stadi za kazi na ujuzi. Inahusisha pia kuwaandaa
na kuwakusanya.haya
ni mafunzo ya kiothodoxi |
.
|
Mafuzo
haya kuyafana rasmi kunaleta hatari ya kupunguza nguvu ya mafunzo, kwa
kuhamasisha kufundisha kuhusu ujuzi, uwezeshaji na uandaaji wa mafunzo.
|
...
| Mafunzo
ya utawala yaliandaliwa ili kuongezea uwezo na kuleta umakini katika
ngazi za juu na kati katika uongozi katika shirika linalopata faida. |
. |
Hapa imerekibshwa
na kuongezewa maarifa mengine ya ushirika wa kibiashara kwa nia ya kuwakusanya
na kuwaongezea/kuwapa nguvu jamii zenye kipato kidogo ili kujisaidia wenyewe
katika kuleta mabadiliko. |
.
..
..
|
Mamlaka ni nguvu
ambayo watu huhisi ni halali.
|
..
| Kazi ya mwezeshaji ni
kuainisha mamlaka zilizopo kwenye jamii husika na kuona zikibadilika na
pia kujaribu kuotea ni nini kitatokea hapo mbeleni. |
. |
wakati unaandaa na kuiwezesha jamii,
kama kada hutakii kudharau mamlaka zilizopo. |
.
...
...
| Katika
makundi ya majadiliano unaweza kuwaruhusu washirikikuongea juu ya mawazo
yao na kuwajibu wengine pia.Katika Kutafakari
tofauti maongezi yanakataliwa. |
. |
washiriki ni
lazima waelekeze majibu yao kwa kiongozi tu na kuchangia kwenye majadiliano
na washiriki wengine. Hii sheria ni muhimu kwa kuwa na majadiliano yenye
ubora, na maamuzi yanayofanywa na kikundi kuwa bora zaidi. |
.
|
Nje ya majadiliano
si sehemu yako ya kazi.
|
.
...
...
.
| katika
jamii na kati yake na nje yake, mawasiliano yanahusisha barabara, nyia
za umeme, (mfano, simu, luninga,mtandao) machapisho (magazeti, majarida,
vitabu), mitandao, lugha mbalimbali, ufahamu, utayari na uwezo wa kuwasiliana
(ambayo inamaanisha udiplomasia, utayari wa kusikiliza na pia kuongea)
kwa ujumla. |
. |
Jinsi jamii
inavyopata mawasiliano bora, inapata nguvu. (kwa ushirika hii ni nguzo
ya mawasiliano, nyanja na majaribio kwa wafanyakazi). mawasiliano hafifu
ina maana ushirika goigoi. |
.
|
Unapoihamasisha
jamii kufanya jambo, mwezeshaji unatakiwa kufahamu kazi na nguvu ya mawasiliano
katika kuwawezesha wanajamii.
|
.
.
...
| Mazingira
(ya kisiasa au ya kiuongozi): |
...
| Si
ubinafsi ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, ushupavu na uwezo wa
jamii au ushirika. Angalia: Elementi
za nguvu ya jamii Jamii itakuwa na nguvu na itaendelea kupata nguvu
na kujiendeleza yenyewe kwa jinsi inavyojikita kwenye mazingira yanayoisaidia.
Mazingira hayo ni pamoja na siasa za nchi (thamani na muelekeo wa viongozi
wa nchi), na uongozi (muelekeo wa viongozi na wafanyakazi wa serikali,
wahandisi, na pia sheria za serikali na mwenendo wake) na sheria za nchii. |
. |
Viongozi wa
siasa wanapochukua mkondo wa utoaji jamii inakuwa dhaifu, na kama wakichukua
mkondo wa kuwawezesha basi jamii inakuwa imara.Jamii zinakuwa imara kama
zikiwa kwenye eneo ambalo linasaidia wao kijiendeleza. Unapoisisimua jamii
kujiongoza unatakiwa kuwa |
,
...
...
| Watu
wengine wanachanganya mchano na ushiriki. watu wengi wanaposikia usemi
huu ushirikishwaji wa jamii. wanahisi unamaanisha michango ya jamii wanafikiria
jambo moja tu ambalo ni namna watu wanavyojitolea nguvu kazi katika mradi. |
... |
Kwa bahati
mbaya, kumetokea malalamiko hapo nyuma kuwa wanajamii wamekuwa wakitendewa
kama vibarua na kulazimishwa kutoa nguvu kazi (au malighafi nyingine kama,
ardhi, chakula n.k). Njia tunayoiongelea hapa ni tofauti kabisa.Ushirikishwaji
hapa una maanisha kushiriki katika kufanya maamuzi, na si kutoa michango.Angalia
michango
ya jamii. |
.
...
...
| tunaposema
ushiriki wa jamii si sawa na mchango wa jamii (ingawa tunaweza kukosea
na kuhisi ni sawa), ila vyote ni muhimu. |
. |
Ushiriki wa
jamii unaiugawa mradi kuwa wa kijamii au kutokuwa wa kijamii, michango
ni muhimu katika kuhakikisha kuwa wanachama wanajisikia kuumiliki mradi,
yaani wamewekeza si kwa mba wameletewa tu. |
.
| Tunashauri
asilimia hamsini ya michango katika miradi tunayoiongoza itke kwa wanachama
wenyewe. Mwanzo hiiitaonekana kama ni ndoto na jambo gumu wa wanajamii
wengi,apo tunatakiwa kuwaeleza kuwa hata nguvu zao wanazojitolea zinahesabiwa
katika mradi, utashangaa nikiasi gani wamekwisha jitolea kwenye mradi. |
. |
Tunatolea mfano
muda unatumiwa na wanajamii katika kupanga kuhusu mradi, kutoa mawazo yao,
n akupangilia mradi nimichngo pia.na pia waeleze kuwa mchanga na nguvu
kazi inayotolewa pia inahesabia kuwa ni mchango. |
.
.
...
| Mradi
a kijamii ni ni mradi ammbao umetengenezwa na kuendeshwa katika jamii,
ambapo maamuzi (utawala na m ipango) hufanywa na jamii nzima, |
. |
An agency that
is formed from outside, and has decisions made for it from outside, may
be community located, but is not community based. See the Acronym, Mradi
wa jamii. |
...
.
....
|
"muongozo" ni
mpangilio
wa kazi katika kufundisha
|
.
| Ukurasa
pepe huu umekusanya moduli nyingi za kufundishia. Kwa pamoja zinatengeneza
muongozo kwa ajili ya mwezeshaji na kwa wataalamu mbali mbali kwa ajili
ya kuiwezesha jamii kuinua kipato chao cha kiuchumi. |
. |
Muhtasari na
maelezo ya muongozo huu yako kwenye waraka Turusi
ya muongozo wa mafunzo ya utawala wa jamii, ambao utatumika katika
kupanga mradi na kuongezea nguvu jamii zenye kipato kidogo. |
.
.
.
.
.
..
..
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|