| ,,,,,,,,,,, |
...
...
|
Mfano kama kuna hali mbili tofauti,
na moja (B) ni matokeo ya ila ya kwanza (A), hapo tunasema uhusiano wao
ni wa kisababishi, kati ya "A" na "B". "A" itakuwa ni kisababishi
na "B" itakuwa ni matokeo. Matendo na hali ya A lazima iwe inayojitosheleza
na ni muhimu ili iitwe kisababishi cha "B".
|
...
| Huu ni uhusiano kati
ya vitu viwili, ambapo mabadiliko katika kimoja yanaonekana kuwa sababu
ya mabadiliko katika kitu kingine.Hili ni tatizo kwa wanasayansi. |
. |
Joto linapowekwa katika kitu, kwa
mfano molekyuli zinakwenda kwa kasi sana. |
.
| Tunaamini kuwa ukitumia
joto (kama kisababishi au si kisababishi) lina kawaida ya kufanya molekyuli
kwenda kasi (zikiwa zimesababishwa au la). |
. |
Wanasoshiolojia wanasema (ingawa
ni vigumu kutabiri) kuwa kasi ya kujiua inaweza kutabirika. |
...
| Kama jamii ina wakatoliki
wengi basi kasi ya kujiua huwa ni ndogo (imepimwa kutoka kwa watu wanaohudhuria
kanisani). |
. |
Pale ambapo talaka inakuwa ni ngumu
kupatikana basi kasi ya kujiua huwa ni kubwa kwa wanawake ( kama ilivyopimwa
na sheria). |
...
| Hatuna sababu za kisayansi
kusema kuwa matokeo hayo yasahalalisha kuwa kipingamizi juu ya talaka husababisha
au huongeza kasi ya kujiua miongoni mwa wanawake walioolewa, au kwamba
ukatoliki unapnguza kasi ya kujiua (pengine kunakuwa na ripoti ndogo ya
matukio). |
.
...
.
...
| Sherehe
ni furaha juu ya mabo fulanni, mara nyngi ni juu ya jambo ambalo linambadilisha
mtu au kitu. Sherehe jambo la wazi. |
. |
Kwa mwezeshaji,
sherehe za kumaliza mradi wa jamii ni za muhimu na ni muhimu katika kipengele
cha kuiwezesha jamii, ambapo jamii itafahamika kwa kujihusisha kikamilifu
katika kuhisaidia. |
.
....
..
..
|
Kutokuwa mbinafsi
ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu,uzito na uwezo wa jamii au muundo.
angalia Elementi za
nguvu ya jamii.
|
..
| Si
ubinafsi inaweza kutafsiriwa kama namna ambavyo oganaizesheni (au kikundi)
inavyokuwa na uwezo wa kujitoa/ kujinyima kwa ajili ya watu (au kikundi)
kwa ujumla. katika sosholojia ni sawa na namna ambavyo mtu anakuw atayari
kujitoa kwa ajili ya faida ya jamii. (inaangaliwa kama ni namna ya kujitolea,
kujinyima,fahari, kusaidia, heshima, kuwajibika, ujasiri, undugu. |
....... |
Katika jamii
nyingine kutokuwa mbinafsi wengine wanajitoa muhanga kwa ajili ya nchi
zao.Katika uwezeshaji ina maana ya uwezo/uamuzi wa kuchangia rasilimali
(hii inahusisha pia muda wako binafsi, nguvu) kwenye jamii bila kutegemea
malipo. KAma jamii itaendelea kutokuwa wabinafsi, itasaidia sana katika
maendeleo ya hiyo jamii. (Mahali ambapo watu binafsi, familia au
kikundi ni wenye tamaa ya mali zaidi ya maendeleo ya jamii,hii itadhoofisha
jamii).Ukiifanya jamii ijikusanye na kufanya jambo, basi ni lazima mwezeshaji
ufahamu kuhusu kujitoa/kutokuwa mbinafsi ili kuiwezesha jamii husika. |
.
..
| Soshiologia
itendayo kazi: |
..
| Tofauti na soshiologia
halisi,soshiologia ifanyayo kazi inajaribu kufanya mabadiliko katika
jamii. |
. |
Uwezeshwaji wa jamii ni sehemu ya
soshiologia itendayo kazi. |
.
.
.
.
.
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|