| .............. |
...
| Neno "Udhibiti"
ni muhimu kwa usaidizi wa kimaendeleo. (Neno lenyewe halipatikani kwenye
kamusi nyingi za kiingereza). Linaashiria "uwezo" wa kitu "kudhibitiwa"
(kuendelezwa) baada ya kuondolewa kwa msaada kutoka nje. Kwa jamii yenye
mradi wa kusambaza maji: kurekebisha,kusafisha na kutumia pampu baada ya
ujenzi ndiyo haja yao kubwa. |
.. |
Kwa Mfadhili,ni kuendelea
kwa mradi baada ya yeye kujitoa. kwako wewe mchochezi wa jamii, haja yako
kuu ni kuendelea kwa shughuli za kuiboresha jamii utakapoondoka. Kwa wanamazingira
na wanaekologia, haja yao kuu ni kwamba kitendo kidhibitiwe (kwa mfano;
kibiologia) na mazingira na kwamba rasilimali zisizoweza kufufuliwa hazitatumiwa
kwisha. |
..
|
(العربيّة:
الاستمرارية,
Deutsch:
Nachhaltigkeit,
die
nachhaltigkeit,
Español:
sostenimiento,
Filipino/Tagalog: maipapatuloy,
Français:
durabilité,
हिन्दी: निरंतरता,
Italiano:
sostenibilita,
日本語:
継続,
Kiswahili: udhibiti,
Romãnã: dezvoltare
durabila, Português:
sustentabilidade,
Somali:
xejin
اردو: سسٹينيبِلٹ)
|
..
...
| Hii ni dhana iliyotumiwa
na Karl Marx, katika jamii za kiviwanda, na ugomvi kati ya wenye navyo
na wasio navyo (wanaouza nguvu zao kwa wenye navyo ili waweze kuishi). |
........ |
Katika jamii yako kama mwezeshaji
katika jamii wa wakulima, utawaona wenye navyo katika uzalishaji kama wamiliki
ardhi (kama ilivyo kabla ya viwanda) na wakulima, vibarua au manamba. |
.
|
Katika jiji kama mwezeshaji hutaona
mwenye nacho yoyote anayemiliki viwanda au mali, ila utaona wafanyakazi
na wapangaji katika makazi ya hali ya kipato cha chini.
|
.
.
...
| Uhodari
ina maana ya ushujaa, Na niushujaa si kwa kufanya jambo gumu bali kwa kulifanya
kiusahihi, kama vile kuwa mwaminifu na muwazi katika pesa za kikundi au
jamii. |
. |
Pia ni chanzo
cha neno "tia moyo", kituambacho wewe kama mwezeshaji utakuwa unajaribu
kukifanya, kuwasisimua ili waache uchoyo na ubinafsi na wajiingize zaidi
katika kazi za kuisaidia jamii na jinsi kiongozi mzuri anavyotakiwa kuwa. |
.
..
.
| Neno
"ujinsia" linatumika katika kutofautisha aina mbili za maneno "kiume" na
"kike." |
.
|
usichanganye
na neno "jinsia"ambalo linatumika katika kutofautisha
"mwanaume" and "mwanamke." |
....
| Ujinsia
na namna ya kutafsiri nini maana ya kiume na kike inatofautiana kati ya
tamaduni na tamaduni, na kati ya jamii na jamii. |
.
|
Nia yetu kuhusu
ujinsia ni kuona jinsi gani inaweza kuathiri mgawanyo wa madaraka, uhusiano
kiuchumi, na tofauti za kijamii. |
....
| Hii
ni mojawapo ya jambo muhimu linaloathiri jamii na pia linaathiri kazi ya
mwezeshaji. |
. |
Mwezeshaji
lazima (pia ni moja ya hitaji la kusoma kuhusu jamii) kuelewa thamani,
muelekea na maadili yanayoizunguka jamii husika. |
...
|
Mwezeshaji pia
anafanya kazi katika kupunguza tofauti iliyopo kisiasa na kiuchumi kati
ya jinsia, kama kiungo muhimu katika uwezeshaji. Angalia moduli ya ufundishaji
Ujinsia.
Ujinsia
Umri, Rangi, na Jinsia.
|
.
|
(Deutsch:
gender,
English:
gender,
Español:
género,
Filipino/Tagalog:
pangkasarian
o kasarian, Français:
genre,
日本語:
ジェンダー,
Kiswahili:
ujinsia,
Português:
género,
Romãnã: gen,
Somali:
jandar,
Tiên Việt: giới
tính)
|
.
...
| Ukrabati
hapa unamaanisha mazingira (kibaiolojia), hisia au kiakili (au urudishaji)
wa watu ambao wameathirika kiuwezo kimwili, kimawazo au kiakili. |
. |
pale ambapo
ukarabati ni wa kijamii basi maamuzi yote na majukumu ya wakuwasaidia wote
walioathirika ni ya jami na hayaanzii nje ya jamii. |
,
.
..
...
| Neno
Neno ni neno pana zaidi ya neno serikali. |
.
|
Si rasmi na
inahusisha zaidi sheria katika maana yake. |
....
| Inamaanisha
namna nzima ya kufanya maamuzi, menejimenti ongozi, uratibu na nguvu ya
uongozi katika muundo wowote kama jamii. |
... |
Uongozi bora
ni uaminifu ushirikishaji,uwajibikaji,
uwazi,
uendelevu,
usawa,
demokrasia,
kuheshimu watu wote na kuwatumikia. |
.
.
..
| Ushiriki
wa jamii ni ziadi ya kuchangia pesa, au nguvu ya kazi, au vifaa, ni kushiriki
katika kufanya maamuzi kuchagua mradi wa jamii, kupanga, kutekeleza, kutawala,
kudhibiti, na kuongoza. inatofautiana na mchango wa jamii. |
. |
Ramsa
ya kijamii inaendeleza shughuli za jamii huku ikiwa katika nafsi ya
jamii kuchukua majukumu zaidi kwa maendeleo yake, kuanzia maamuzi ya mradi
upi wauchukue na kuangalia namna ya kukusanya mali ghafi kwa ajili ya mradi
husika. |
.
|
ushirikishwaji
wa jamii unahakikisha kuwa maamuzi yanayo husu mradi yanafanywa na wanajamii
wote. (sio wachache) au watu toka nje.
|
.
| Katika
njia hii, mchango wa jamii unasaidia watu kujisitoa kwa hali na mali katika
mradi sababu wanaushirika nao. PIa tunazishauri serikali na wafadhili wake
kuzihusisha jamii husika katika kupanga miradi yao. |
. |
Ushirikishwaji
wa jamii hapa usichukuliwe kama mbadala wa michango ya jamii. (kama inavyofanywa
na watu wengi kimakosa); Ushiriki hapa una maanisha kushiriki katika kufanya
maamuzi, kuongoza na kuchunga. |
.
...
...
| Ushupavu
ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, uwezo, au nia ya jamii au ushirika.
Angalia: ELementi
za nguvu ya jamii. ikiwa inasilishwa kibinafsi ni kiasi gani
watu wanashiriki katika ushupavu kama jamii. mfano katika kuamini
kuwa jamii inaweza kupata/ kufanya jambo fulani. |
. |
mitizamo
chanya, nia, ushawishi binafsi, mshawasha, maono, kujitegemea na si utegemezi,
nia ya kupigania haki, kutokuwa wabinafsi na wachoyo, na maono ya nini
kinawezekana. Kuongezeka nguvu inamaana ya kuongezeka ushupavu. Unapokuwa
unaihamasisha jamii kufanya jambo fulani, mwezeshaji unatakiwa kufahamu
kazi ya ushupavu katika kuiwezesha jamii au ushirika. |
...
..
..
|
Usugu ni moja
ya aina tano za umasikini
na utegemezi
|
..
| Wakati
mwingine huhusihwa na filosofia ya kifo Muombe Mungu lakini pia jisaidie"
kwa kirusi msemo,
unasema kuwa tuko kwenye mikono ya Mungu, lakini pia tuna majukumu yetu
binafsi. |
.. |
Tumeumbwa na
uwezo mwingi: kuchagua, kushirikiana, kupanga, na kuinua viwango vya maisha
yetu; tusimtumie Mungu kama njia ya kukwepa kufanya kazi. |
.
.
..
|
Neno "utamadunisho"
ni jinsi au namna ya kujifunza utamaduni mpya, tofauti na enculturation.
|
.
| mara
nyingi humaanisha kwenda kwenye jamii mpya ambapo tamaduni
ni tofauti, lakini pia ni sehemu ya mazoea ambayo tunayahitaji kwa ajili
ya kuzoea mabadiliko katika jamii zetu (nina maana ni endelevu) zinazotuzunguka. |
. |
Kazi yako kama
mwezeshaji itatoa matokeo ya mabadiliko ya jamii (maendeleo)katika
jamii. wanachama kwenye hiyo jamii ni lazima"wajitamadunishe" (wajizoeshe)
kwenye jamii mpya. |
.
.
..
..
| "Utawala
binafsi"ni neno lilitokana na neno la kihispania toka Marekani ya kusini
na kati, "Uongozi binafsi." Ina maanisha jamii kujitawala yenyewe.
Angali Binafsi. |
. |
Angalia
Utawala
binafsi. Inamaanisha kuwa jamii imechukua hatamu kwenye utawala na
katika kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo. |
.
...
...
|
Kuongeza uwezo
wa jamii kuongeza uwezo wake wa kufanya jambo.
|
.
|
Ni zaidi ya kuongeza
kazi ya kijamii, au huduma ya kijamii kama barabara, maji, elimu na huduma
za afya.
|
.
| kuongez
auwezo na nguvu.inamaana stadi na maarifa zaidi na kuw amakini zaidi. haiwezi
kuja kwa bahati au michango y amali ila kwa kuwezeshwa kupitia miradi ya
kijamii, ila tu endapo wanajamii watahusishwa tokea mwanzo. |
... |
Kuongeza demokrasia
kutaisaidia serikali katika utawala na kuachia sehemu ya kutunga sheria
kwenda kwenye jamii, mfano kufanya maamuzi juu ya maendeleo yake binafsi,-
nguvu, uwezo nia. uwezeshwaji¨ |
.
.
.....
..
|
(Deutsch:Macht,
empowerment,
die
stärkung, leistungsfähigkeit,
English:
capacity,
power,
strength,
Español:
capacidad,
potenciación,
Filipino/Tagalog: kakayahan,
pagpapalakas,
Français:
capacité,
empowerment,
Italiano:
empowerment,
日本語:
強くする,
Kiswahili:
uwezo,
Português:
capacidade,
fortalecendo,
Romãnã: capacitate,
Pyccкий:
paзвития,
Somali: awooda,
Tiên Việt: năng
lực, tăng
cường)
|
.
.
.
.
..
....
....
|
(العربيّة
(Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français:
, Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português:
, Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
|
..
––»«––
|