Jamii kujitawala, kujiwezesha na kujiendeleza
Maneno muhimu
V
DeutschLa versión española de este documento.La version française de ce document.GreekKiswahiliRussian VersionVao
 
.............
Vitendo:
..
vitendo hutokea pale ambapo, kikundi lengwa kinakuwa kimefanya jambo fulani,bila ya kujifunza kuhusu kitu hicho. Mafunzo mazuri ni yale ambayo washiriki wanajifunza kwa vitendo. Wewe kama mwezeshaji ni kuhamasisha na kuongoza jamii kivitendo. ... Kuwakusanya wanajamii pamoja kwa ajili ya mkutano au kuunda kamati si kuwawezesha. hapo hujafanya lolote bado. kuwawezesha ni baada ya kuwahusisha katika vitendo.
.
(Deutsch: aktion, English: action, Español: acción, Filipino/Tagalog: akysion, Français: action, Kiswahili: vitendo, Português: acção Romãnã:  actiune, Pyccкий: Действие)
.
.
.
.
.
 
V:
..
V . V
 ....
V
 ....
(العربيّة (Arabic): , Deutsch: , English: , Español: , Filipino/Tagalog: , Français: , Ελληνικά: , हिन्दी (Hindi): , Kiswahili: , Português: , Romãnã: , Pyccкий: , Somali: , ردو (Urdu): )
..
Mwandishi Phil Bartle
Mtafsire Alpha Mukama
––»«––
..
Maneno muhimu